Kamata ya USCF DAY ya mwaka huu 2016/2017
Matangazo
MATANGAZO MUHIMU
1. Kwa wale mlioahidi michango kwa ajili ya madhabau ya BWANA. Mnakumbushwa kufikisha michango yenu.
Ijumaa, 13 Januari 2017
USCF DAY 2.
Tarehe 8/1/2017 wana-USCF walikua wakiifurahia siku Mungu aliyowapa kibali cha kuwa na kukaa kwa pamoja kusheherekea Umoja wao katika Kristo. Siku hii imekua ya neema sana kwao. huu umekua ni utaratibu wao wa kila mwaka kua na siku muhimu moja kwa mwaka kudumisha Umoja wao kitika Kristo Yesu. Kutazama picha za hiyo siku bofya HAPA..
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni