Wengi walijitokeza na ilikua furaha kwa kila aliyeshiriki siku hiyo... Wengi walitamani
tena na iwepo wakati mwingine yaani na Mzumbe waandae kama jinsi MUST walivyo iandaa hii "GET TOGETHRER"ya siku kama ya leo jumanne. walio wengi walipendekeza ifanyikie Mzumbe.
Katika tukio hili alikuwepo Raisi wa USCF Taifa, Mwenyekiti wa USCF-Mkoa wa Mbeya naviongozi wengine kutoka MUST na Mzumbe.
kulikua na michezo mbalimbali Mbio za kawaida, Mbio za magunia, Mpira wa miguu, Kuvuta Kamba, Mchezo wa karata, Machindano ya kucheza musiki na Mashindano yakuywa soda.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni