Matangazo



MATANGAZO MUHIMU
1. Kwa wale mlioahidi michango kwa ajili ya madhabau ya BWANA. Mnakumbushwa kufikisha michango yenu.

Kusifu na kuabudu

Wanafunzi USCF MUST wakiwa wanamsifu Mungu katika kipindi cha kusifu na kuabudu Kila Jumnne ya wiki. Wanaonekana wanafuraha kwa jinsi ya ajabu Mungu wao alivyo wapekee kwao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni