Matangazo



MATANGAZO MUHIMU
1. Kwa wale mlioahidi michango kwa ajili ya madhabau ya BWANA. Mnakumbushwa kufikisha michango yenu.

Jumatatu, 16 Januari 2017

MATOKEO YA UCHAGUZI WA VIONGOZI KAMATI KUU

Bwana Yesu apewe sifa. Leo tulikuwa na uchaguzi wa USCF-CCT MUST TUMEPATA KAMATI KUU YA MWAKA 2017/2018. NAO NI HAWA WAFUATAO:

1. MWENYEKITI:

MWAIKENDA MICHAEL

2. MAKAMU MWENYEKITI:

CALVIN LEMA

3. KATIBU

SHADRACK AMBANGILE

4. KATIBU MSAIDIZI

ELLY MUNA

5. MTUNZAHAZINA

RUTH MBASHA

6. MTUNZAHAZINA MSAIDIZI

THOBIAS MAKULE

7. MRATIBU MAOMBI

HARSON R. MCHAU

8. MSAIDIZI MAOMBI

DOMINICK  LEONARD

9. KIONGOZI WA WAKAKA.

AVITH AMOS

10. KIONGOZI WA WADADA.

MARY G. ESTOMIHI.

TUNAOMBA MUWAPE USHIRIKIANO VIONGOZI HAWA

Maoni 2 :

  1. Mwenyezi MUNGU awe katikati yenu katika kila jambo kwa mwaka huu wa uongozi

    JibuFuta