Matangazo



MATANGAZO MUHIMU
1. Kwa wale mlioahidi michango kwa ajili ya madhabau ya BWANA. Mnakumbushwa kufikisha michango yenu.

Jumanne, 15 Novemba 2016


Wanauscf wakiwa kwenye jointmass st. Agrey nurse. Ilikua ni Jumapili tarehe 13/11/2016. Vilijumuika vyuo vikuu na vya kati hapa Mbeya.

Alhamisi, 28 Aprili 2016

GET TOGETHER MUST VS MZUMBE


Hizi ni baadhi ya picha zilizochukuliwa katika tukio la "GET TOGETHER" kati ya Mzumbe Mbeya na MUST Siku ya Jumanne tarehe 26/04/2016 hapa MUST.

Wengi walijitokeza na ilikua furaha kwa kila aliyeshiriki siku hiyo... Wengi walitamani

Jumanne, 9 Februari 2016

USCF Day

 Aliye kulia ni mwenyekiti wa kamati ya USCF Day Mr. Mwaipungu akifwatiwa na Katibu wake Mr. Claud na anayefwata ni alikua Mwenyekiti wa USCF MUST Mr. Ngabona wakiwa wanakabidhiana nyaraka siku ya USCF Day.
WanaUSCF MUST wakiwa katika kipindi cha maakuli siku ya USCF Day tarehe 03/01/2016 jumapili. Siku hii ilukua ya pekee na kufaana sana kwa wanaUSCF MUST kwani ilikua ni siku ya kwanza kuazimisha USCF Day na siku hiyo hiyo ilikua siku ya kwanza kutangazwa rasmi, kupitishwa Mchango wa kumjengea Mungu wao Madhabau.




Wanakamati waliohusika katika kuitayarisha USCF day MUST.