Matangazo



MATANGAZO MUHIMU
1. Kwa wale mlioahidi michango kwa ajili ya madhabau ya BWANA. Mnakumbushwa kufikisha michango yenu.

Jumapili, 31 Desemba 2017

Wote mnakaribishwa katika ibada ya mkesha wa kupokea mwaka mpya 2018 itakayofanyika katika Ukumbi wa Nyerere MUST
usikose