Matangazo



MATANGAZO MUHIMU
1. Kwa wale mlioahidi michango kwa ajili ya madhabau ya BWANA. Mnakumbushwa kufikisha michango yenu.

Jumapili, 31 Desemba 2017

Wote mnakaribishwa katika ibada ya mkesha wa kupokea mwaka mpya 2018 itakayofanyika katika Ukumbi wa Nyerere MUST
usikose


Ijumaa, 24 Novemba 2017

SEED PLANTING AND WELCOME FIRST YEAR

Welcome first year which was held on november 19,2017, 
nyerere hall from 08:00am up to 02:00pm
May God bless all those who took their time to attend the session , and also those who were not be able to attend








Ijumaa, 6 Oktoba 2017

GRADUATION DAY

It was held on the 3 June 2017 ,
  Congratulations on your graduation , may the God almighty guide you







KUSIMIKWA KWA VIONGOZI


Bwana asifiwe....
siku ya kusimikwa kwa viongozi iliyo fanyikia nyerere hall 







Jumatatu, 16 Januari 2017

MATOKEO YA UCHAGUZI WA VIONGOZI KAMATI KUU

Bwana Yesu apewe sifa. Leo tulikuwa na uchaguzi wa USCF-CCT MUST TUMEPATA KAMATI KUU YA MWAKA 2017/2018. NAO NI HAWA WAFUATAO:

1. MWENYEKITI:

MWAIKENDA MICHAEL

2. MAKAMU MWENYEKITI:

CALVIN LEMA

3. KATIBU

SHADRACK AMBANGILE

4. KATIBU MSAIDIZI

ELLY MUNA

5. MTUNZAHAZINA

RUTH MBASHA

6. MTUNZAHAZINA MSAIDIZI

THOBIAS MAKULE

7. MRATIBU MAOMBI

HARSON R. MCHAU

8. MSAIDIZI MAOMBI

DOMINICK  LEONARD

9. KIONGOZI WA WAKAKA.

AVITH AMOS

10. KIONGOZI WA WADADA.

MARY G. ESTOMIHI.

TUNAOMBA MUWAPE USHIRIKIANO VIONGOZI HAWA

Ijumaa, 13 Januari 2017

USCF DAY 2.

Tarehe 8/1/2017 wana-USCF walikua wakiifurahia siku Mungu aliyowapa kibali cha kuwa na kukaa kwa pamoja kusheherekea Umoja wao katika Kristo. Siku hii imekua ya neema sana kwao. huu umekua ni utaratibu wao wa kila mwaka kua na siku muhimu moja kwa mwaka kudumisha Umoja wao kitika Kristo Yesu. Kutazama picha za hiyo siku bofya HAPA..

Kamata ya USCF DAY ya mwaka huu 2016/2017