Matangazo



MATANGAZO MUHIMU
1. Kwa wale mlioahidi michango kwa ajili ya madhabau ya BWANA. Mnakumbushwa kufikisha michango yenu.

Jumamosi, 20 Juni 2015

Graduation 2015


Mheshimiwa mgeni rasmi na mwenyekiti USCF MUST kulia na kushoto kwake akiwa ni Katibu wa praise and worship USCF MUST.
Kikundi cha maigizo kikiwa kinatoa burudani.


Kikundi cha madancers kikiwa kinatoa burudani siku hiyo ya graduation.